Queen latifah and jeanette jenkins!

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
QUEEN LATIFAH.jpg

Nini kimewasibu hawa kina dada ambao nyuma walikuwa na mahusiano ambayo yanakubalika na Muumba na kuhamua kuanza mahusiano na watu wa jinsia yao?<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
Kichongeo kimetengenezwa kwa ajili ya kuchonga pencil, ukijaribu kuchonga kijiti ambacho kina size sawa na pencil hakichongi vizuri.sasa hawa kina dada kwenye relationships zao nyuma ni kwamba walipata pencils ambazo hazichongeki vizuri?<o:p></o:p>
 
Huku ndio wanasema kuzeeka vibaya..

Lakini wait a minute..huu si ndio utandawazi == no boundaries, everything goes..
 
khaa nimeshindwa kushangaa :confused2:
Nina shangaa unashindwa kushangaa... picha kama hiyo haiwezi kumshangaza mtu kama Lady Gaga au Elle Degeneres....Wewe kama mwanamke nijuze niache kushangaa.

Usingetumia neno "khaa" ungeeleweka pia.
 
Kumbe huku ndio KUSAGANA?
mbona hata wachezaji wanakumbatiana tu, ubaya uko wapi??
Wachezaji wanapofunga goli au wameshinda hawakusudii wanapo shikana pabaya..lakini mkiwa holiday mkashikana hivyo kuna walakini.

Niweke picha ya wachezaji ambao ni straight wamekumbatiana hivyo zaidi ya wakiwa wanashangilia uwanjani...Wewe unaweza kukubali ushikwe makalio hivyo na mtu wa jinsia yako?
 
View attachment 12758

Nini kimewasibu hawa kina dada ambao nyuma walikuwa na mahusiano ambayo yanakubalika na Muumba na kuhamua kuanza mahusiano na watu wa jinsia yao?<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
Kichongeo kimetengenezwa kwa ajili ya kuchonga pencil, ukijaribu kuchonga kijiti ambacho kina size sawa na pencil hakichongi vizuri.sasa hawa kina dada kwenye relationships zao nyuma ni kwamba walipata pencils ambazo hazichongeki vizuri?<o:p></o:p>

Kwishneiiii sijui wakifa kwa muumba watasema nini
 
Back
Top Bottom