MFUMO WA NCHI AMBAO UELEKEO UPO KICHWANI KWA MTU MMOJA KUPIGA HATUA ZA MAENDELEO NI NGUMU SANA JAMBO KUBWA LINALOFANYIKA SASA HIVI NI KUZUIA WALA RUSHWA WA ZAMANI NA KUONGEZA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAPYAkuna mtu atatamani wafungwe kwa uchochezi... Tz bado tunasafari ndefu, hii nchi kila kukicha hakuna tumaini lolote linaloonekana... kuna watu walisema katika awamu hii rushwa na ufisadi unaweza ukaongezeka, naona dalili ndo hizi

Mkuu hio ni ya kubrashia viatu!Inawezekana kweli imepungua. Nilishikwa na trafiki wakati naenda dodoma ati triangle imechakaa. Afande ananiuliza tukuandikie au? Nikauliza au ndo nini. ? Eti changia lunch. Nikawa nagoma kuacha chochote tukabishana kama nusu saa nikaona wananichelewesha nikawachia hiyo au yao
Hujawahi ona nyumba ya baba mkalii ndo inayotoa watoto watukutu?kuna mtu atatamani wafungwe kwa uchochezi... Tz bado tunasafari ndefu, hii nchi kila kukicha hakuna tumaini lolote linaloonekana... kuna watu walisema katika awamu hii rushwa na ufisadi unaweza ukaongezeka, naona dalili ndo hizi
Umenena mkuuMFUMO WA NCHI AMBAO UELEKEO UPO KICHWANI KWA MTU MMOJA KUPIGA HATUA ZA MAENDELEO NI NGUMU SANA JAMBO KUBWA LINALOFANYIKA SASA HIVI NI KUZUIA WALA RUSHWA WA ZAMANI NA KUONGEZA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAPYA
Vipi leo hujaenda kubeba mabox?Rushwa itapungua vipi wakati uchwara ndiye kinara wa kutoa rushwa nchini na pia kaamua kuwakingia wapokea rushwa wote nchini kama tu ni watu wa lumumba na Takukuru imekuwa ni taasisi ya kulea na kukuza rushwa nchini.