Quality PLASTIC products - Egypt

mhandc

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
10
Reaction score
3
Tunauza bidhaa za plastic kutoka Misri kwa bei ya jumla na reja reja,. tuna flower pots, viti, meza, pallets, containers, michezo ya watoto. kwa mawasiliano 0677045403 au tembelea ofisi zetu zilizopo mwenge mkabala na josam house coca cola road. Kwa matumizi ya hotels, restaurants, lounges na Outdoor gardens.
 
Weka sample na bei
Vitu ni vingi sana,. nimeweka kucreate awareness tu kama mtu atahitaji atawasiliana nasi kwa namba hii 0677045403 au kufika ofisini kwetu mwenge karibu na josam kwenye hili.jengo.
Karibuni sana muweze kupata Bidhaa Bora. house
 
Hao ni wabunifu sana maviwanda ya Tanzania yamekomaa na mabeseni na madiaba tuu hawana ubunifu mwingine kwenye plastic wakijitahidi sana ni viti vya kuuzia baa ambavyo hukatika baada ya muda kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…