Profee Essoree
Member
- Sep 14, 2011
- 36
- 5
upo uwezekano wa kuintegrate system mbili pamoja ambapo hata wale wa vijijini wakatumia njia ya kawaida na informations zikaingia ndani ya net na waliotown ni option kutumia njia moja wapo,ingawa ni issue kubwa lkn ni endelevu,kwani mwana wa jamiiforum pamoja na hawa washikaji wa jigambeads hawawezi create system km hiyo?Unajua watanzania wangapi wana acces internet?.