HELLO PLZZ NISAIDIE LINK BASI NA MIE NI_APPLY(Registration Link) NAWAOMBA WANA JF[/QUOT
search pwc tanzania kwenye google zen kwenye result ya kwanza click 'about graduate recruitment ' then ikifunguka upande wa kushoto utaona place ya red imeandikwa apply. ukiingia hapo utaregister account ukishamaliza utaiactivate kutoka kwenye email yako then utaanza process ya kujaza form ni hvyo tu mkuu
Labda ww atakuelewa maana amekazana linklink wkt kila kitu kiko wazHELLO PLZZ NISAIDIE LINK BASI NA MIE NI_APPLY(Registration Link) NAWAOMBA WANA JF[/QUOT
search pwc tanzania kwenye google zen kwenye result ya kwanza click 'about graduate recruitment ' then ikifunguka upande wa kushoto utaona place ya red imeandikwa apply. ukiingia hapo utaregister account ukishamaliza utaiactivate kutoka kwenye email yako then utaanza process ya kujaza form ni hvyo tu mkuu
Kwny web yao sehem ya kuapply umefungua ? Mbona hy sehem ndo inasehem ya kujiregisterhivi ww umesoma maelekezo hii sio ya kutuma cv inabidi ufanye registration then unafanya aptitude test online tatizo siwezi kuona link ya registration kwenye website yao umesikia mr>mzurisana ukiweza naomba unipe link yao nifanye registration
Labda ww atakuelewa maana amekazana linklink wkt kila kitu kiko waz
uwezo wa watu kuelewa unatofautiana
jamani kwani tunabishana nini ukifungua apply online mie sijaona sehemu yoyote haina haja ya kubishana sana mtu si unatoa tu link au nifanyaje tuwe wazalendo jamani
Me nahic ww una matatzo tuu mengne maana ushaelekezwa vya kutosha bado huelewi badala yake unadhani unabaniwajamani kwani tunabishana nini ukifungua apply online mie sijaona sehemu yoyote haina haja ya kubishana sana mtu si unatoa tu link au nifanyaje tuwe wazalendo jamani
nyie wote mliobishana hapo juu nani hata kafika Manager's Interview?