Jamani naombeni tuurejee huu uzi, vipi ni miaka karibu 10 sasa, je kuna mafanikio yoyote kwenye upungufu wa bei? Ningependa kujua pia kama mikoani huduma hii imefika
double glazing, inasaidia sana wakati wa baridi kali, ubaridi wa nje auingii ndani kama ulifunga madirisha. Kwa mikoa kama Dar, kwa kweli huitaji kuweka double glazing.