K Kabachubya Member Joined Oct 6, 2009 Posts 87 Reaction score 10 Sep 21, 2012 #1 Mambo vipi JF? Puppies DOB 29/07/2012 wanauzwa, wameshachomwa DHLP , buster wanachomwa mwezi wa 10. Bei kwa puppy mmoja ni Tshs 400,000/=. Wamebaki majike wa2 na dume mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464 au 0762101178 Attachments DSC04458.JPG 452.5 KB · Views: 247 DSC04460.JPG 279.4 KB · Views: 207 DSC04463.JPG 356.8 KB · Views: 186
Mambo vipi JF? Puppies DOB 29/07/2012 wanauzwa, wameshachomwa DHLP , buster wanachomwa mwezi wa 10. Bei kwa puppy mmoja ni Tshs 400,000/=. Wamebaki majike wa2 na dume mmoja. Kwa mawasiliano: 0717 123 464 au 0762101178
emilwayne JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 265 Reaction score 19 Sep 21, 2012 #2 tofauti ya german sherphad na hawa mbwa wengine ni nn?? Mbona wana bei hvyo?
K Kabachubya Member Joined Oct 6, 2009 Posts 87 Reaction score 10 Oct 4, 2012 Thread starter #3 Ukishakuwa na mbwa au hata kwa kuwaangalia utaona tofauti yao, kuna tofauti kubwa tu kuanzia muonekano mpaka uelewa.
Ukishakuwa na mbwa au hata kwa kuwaangalia utaona tofauti yao, kuna tofauti kubwa tu kuanzia muonekano mpaka uelewa.
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Oct 4, 2012 #4 Mbwa mbwa tu mwanawane hayo majina ni swaga zenu tu