Punyeto inavyoniweka mbali na mademu

Edson Carrington

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2022
Posts
216
Reaction score
637
Habari wakuu,

Nimekuwa muumini wa masturbation kwa takribani miaka mitano sasa, kiukweli punyeto ni very interesting practice haswa kwetu wanaume kama tukiachana na dhana za hapa na pale.

Nimekuwa nikitumia muda wangu mwingi kufanya mambo yangu, tofauti na vijana walio wengi ambao kila kukicha wao ni kukimbizana na mademu ili kupunguza ugwadu huku wakipoteza muda wao wa kufanya mambo ya maana.

Na hata kama kuna demu mkali na nimemkubali ni simple tu namuweka kiporo then baadae nakula mzigo kwa hisia zaidi then baada ya hapo nakua sina time hata ya kwenda kuomba namba.

Usilolijua ni kwamba ukiwa mpiga punyeto mzuri na mzoefu hata haja ya kutongoza hutoiona kwani ni kupoteza muda, pesa, kujihatarisha na kujichafulia CV tu zaidi ya hayo hakuna cha maana.

Na pia ukiwa mbobezi Kwenye punyeto wanawake wengi utawaona nothing kwenye tendo kwani radha yao inakuwa ya kawaida ukifananisha na mzigo wa nyeto. Pia unaweza simamisha bao moja hata ndani ya masaa 3 kitu ambacho kitakuheshimisha kwa mademu.

Kiukweli punyeto imeniepushia mengi sana kutoka kwa wanawake wa kizazi hiki, inafadhili pesa zangu kwa ajili ya kuwekeza baadae na inanilinda dhidi ya magonjwa hatari kwa mademu wenye matatizo ya kiafya.

Nipo palee nawaangalia vijana wanaoumizwa na mapenzi na kuchunwa pesa zao kila kukichwa huku wakisema ajira hakuna.
 
Habari wakuu,

Nimekuwa muumini wa masturbation kwa takribani miaka mitano sasa, kiukweli punyeto ni very interesting practice haswa kwetu wanaume kama tukiachana na dhana za hapa na pale...
Dah,Watu tunakimbia punyeto wengine wanaikumbatia watu tunatofautiana aiseee lakini uache ina madhara ushauri wangu take it or leave it...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Nimekuwa muumini wa masturbation kwa takribani miaka mitano sasa, kiukweli punyeto ni very interesting practice haswa kwetu wanaume kama tukiachana na dhana za hapa na pale...
waache wapigwe, wakija kustuka , ni too late

Hongera
 
Punyeto ni hatari mkuu, kama huwezi kutongoza kanunue hata dada poa ila siyo punyeto.

Nb. Ukimwi upo na unaua Akili na roho
 
Ni kama mbingu na jehanam tu

Kila mtu apambanie kombe lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…