Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,171
- 34,333
ChaiHabar ndugu zangu nimepiga punyeto kwa mda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukazofuu Sana alafu nkawa mzito kuelewa Yan nakua Kama zoba fulan mail masaa yote umechoka n nikawa napenda kulala tu Yan mpaka saiv Hali n mbaya Nina miaka 29 lakn nko Kama mzee wa miaka 70 Yan uwezo wa kujiamin kujichaganya na watu Sina nishakua mtu wa kushinda nyumban tu kwa wazazi nataman kuwa na mpenzi anisaidie kuacha lakn kwa bahati mbaya sio wa kukubali kua na Mimi inaniumiza Sana madhara makubwa niliyopata 1 nimewahi kuzeeka 2nishaharibu mishipa ya fahamu nimekua mtu wa kujitenga na jamiii Yan nko Kama mtu mwenye ugonjwa wa usoji najua umu Kuna watu tofaut tofaut Kama Kuna mtu ambae atakua tiar kunisaidia ata kwakunikutanisha na watalamu Mimi nipo tiar mateso nayopitia n makubwa Sana apa nilipo Sina uwezo wa kuongea na mtu nkaelewa Yan mishipa ya fahamu haiko vizur Kama imeleta tatzo adi kwenye usikivu wa masikio n hvo tu
hakuna.Name anything inayofanya dopamine drive kuwa juu ukitoa drugs , hakuna inayozidi PMO. Hizi blah blah za natural, nyenyenye, wewe kumbuka ni mammal but your brain is wired differently. Elewa. Never advocate for this my friend. Amini kuna watu huwaelewi maisha yao yanayoenda, wana akili, wana kazi lakini wapo erratic huelewi kwanini wapo kama walivyo. Kumbe wana siri, wapo overwhelmed na masturbation sema ndo wanaanzaje kusema wakati ni tabia ya siri na ya aibu?
kWisha habari yangu 🤕Punyeto ndiyo ina madhara lakini naona kama vile una matatizo mengine ambayo yanakupasa uende hospitalini.
Tafuta wanasaikolojia wazuri ukapate ushauri nasaha na uchunguzi wa kitaalamu. Nahisi kama vile pengine una upungufu wa madini na vitamins mwilini.
Pole mkuu utakuwa OK [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2688636
😂😂Atakua na stress zake binafsiIpe punyeto heshima yake tafadhali na uache kui singizia kwa stress zako ..una matatizo binafsi tu na chuki zidi ya punyeto, nashaurii uka waone wataalamu wa psychology
HahhhhMadhara makuu ya punyeto ni uume kukosa nguvu unapokutana na mwanamke na kupoteza kumbukumbu. Hayo mengine ya hadi kushindwa ku-save pesa ni ya kwako binafsi. Walokole mnapitiliza kwa kuweka mambo ya kiroho kwenye kila kitu. Kuisingizia punyeto hadi kwenye ishu za pesa sio sawa.
Huyu labda ana matatizo ya kiswahili au kiafyaDuuh! Miaka 29 unapata wap ujasiri wa kulala nyumbani huna mpnz huna kaz hutoki nje hata matembez sasa unaishije bwana mdogo.
Kada wa Nyetto.hakuna.
ukiwa addicted na nyeto ujue una stress, trauma unajaribu ku-escape
nyeto ni asili, soma comments watu wanapiga nyeto na hawaoni shida
mkuu tunaweka ukweli wazi,Kada wa Nyetto.
Muoneni huyuPunyeto ina madhara makubwa sana. Achana na hawa watu wa mitandaoni watakupotosha ni suala la muda na wao watakuja kulia. Hiyo kutokujiamini ipo sana, sasa kuna spiritual effects hizo ni mbaya zaidi. Kuna demons wanajiattach kwako kila unapopiga, unapata negative energy, na unavyozidi kupiga unazidi kuzama. Una attract mikosi na bahati mbaya, utachukiwa bila sababu kwa kuangaliwa tu. Sababu kuna nuru unaikosa ukiwa unapiga sana punyeto. Weka dhamira, mshiriishe Mungu. Acha kabisa kuangalia porn au picha mbaya za instagram ,jiepushe kabisa. Weka malengo madogo kwanza. Mfano anza na siku 30. Ukifanikiwa jipongeze.
Punyeto itakuweka mbali na watu, utashindwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote, ya kikazi, kijamii, kimapenzi. Utakuwa mtu wa hovyo.
Kwa kuwa punyeto inaleta 'instant' gratification, yani unapata raha haraka unapojiskia. Mwili unazoea hivyo na utakosa uwezo wa kuwa na subira na mipangilio katika maisha, utashindwa kusave pesa, kuvumilia mpenzi, utakuwa unareact very bad ,na decision making very poor. Mwisho utachomwa moto kwa imani zetu.
We kazana na Nyetto mwenzio yule leo yupo Tabata kwa Moureen.mkuu tunaweka ukweli wazi,
sio kwamba tunakataza uwe na pisi, hapana😂
hatuishi kwa nyeto😂We kazana na Nyetto mwenzio yule leo yupo Tabata kwa Moureen.
Kwamba Nyetto kwenu ni Baraka na sio muujiza.hatuishi kwa nyeto😂
nyeto ni kachumbari, mbussu ni pilau😂
kabisa,Kwamba Nyetto kwenu ni Baraka na sio muujiza.
Mhhhhkabisa,
tunashtua mara moja moja mtambo usipate kutu
kabisaa hio haihusiani na punyeto huyu ana matatz ya kiakili na anapozidi kujifungia ndani itapelekea uchizi.Huyu labda ana matatizo ya kiswahili au kiafya
@Weva360Habar ndugu zangu,
Nimepiga punyeto kwa muda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukazofuu Sana alafu nkawa mzito kuelewa Yan nakua Kama zoba fulan mail masaa yote umechoka n nikawa napenda kulala tu.
Mpaka saiv Hali n mbaya Nina miaka 29 lakn nko Kama mzee wa miaka 70 Yan uwezo wa kujiamin kujichaganya na watu Sina nishakua mtu wa kushinda nyumban tu kwa wazazi nataman kuwa na mpenzi anisaidie kuacha lakn kwa bahati mbaya sio wa kukubali kua na Mimi
Inaniumiza Sana madhara makubwa niliyopata 1 nimewahi kuzeeka 2nishaharibu mishipa ya fahamu nimekua mtu wa kujitenga na jamiii Yan nko Kama mtu mwenye ugonjwa wa usoji najua umu Kuna watu tofaut tofaut Kama Kuna mtu ambae atakua tiar kunisaidia ata kwakunikutanisha na watalamu Mimi nipo tiar mateso nayopitia n makubwa Sana apa nilipo Sina uwezo wa kuongea na mtu nkaelewa Yan mishipa ya fahamu haiko vizur Kama imeleta tatzo adi kwenye usikivu wa masikio n hvo tu