Punyeto imenimaliza

Mkuu naweza pata ushaur wako nje na hapa. Maana Hali n mbaya Sana
 
Kama kila mtu angeamua atoe ushuhuda wake juu ya swala la punyeto nadhani ungebaki unashangaa wewe si lolote. Nadhani una tatizo la psychology zaidi na fikra zako umezipeleka kwenye nyeto. Miaka 29 nadhani bado sana kukata tamaa kama utaamua kusolve saikolojia yako.

Nakushauri fanya mazoezi walau kwa kukimbia, kula virutubisho kama matunda na vyakula vyenye manufaa mwilini na akilini achana na machipsi. Halafu tatufa demu wala usiogope mwanzo itakua ngumu baada ya muda utarudi kutoa ushuhuda. Hakuna kitu kinatumaliza kama kujitengenezea hofu sisi wenyewe
 
Too much of anything is harmful but kawaida tu haina shida and I have been masturbating since 13 and sina any problems u have. So Km u do it 5 times and more a day that's a problem and stop it ila don't try eti to stop masturbating coz it's pleasure on its own unless upate mpenzi and hata ukiwa naye bado it's no problem Km u do it moderately. So for now try to stop kwa muda and find a balance in your life
 
Dawa ya punyeto ni kuacha. Chips hazina shida yoyote.
 

mkuu, ni kweli punyeto ina madhara kisaikolojia pia ki mwili lakin ni kama matatizo yako mengine uliyokua nayo ya kutojiamini, anti social na uwezo mdogo wa kiakili vyote unaingizia punyeto
 
Sijidanganyi. Nakubali punyeto ina madhara ila kuanza kusema inasababisha hadi huwezi kutunza pesa ni kuongeza chumvi. Mara sijui mapepo. Hiyo ni too much.
Kama inakuondolea self discipline utawezaje kubehave? hayo mengine ya spiritual sio lazima. Ila jua ni punyeto ni portal of entry ya the underworld. Kama unaamini lakini. False gratification ni kazi ya demons.
 
Tatizo ni sabauni gani ulikuwa unatumia shio nyeto
 
Uchovu unao sababishwa na punyeto nauvulia kofia, yaan kuamka tu asubuhi n kimbembe unaweza stuka toka usingizin mapema tu, lakin kutoka kitandan ina weza kukuchukua lisaa ata na zaidi
Kifua kimejaa utadhan mtu mwenye nimonia kukimbia kidogo tu ulimi huo uko hoi kama mbwa, punyeto iliyo kithiri ni hatari sana

Madhara uliyo ainisha yapo na wengi tu yanawatokea ata kama sio wote(naona kuna wengine wanabisha) lakin jambo la msingi n kwamba unapona na kusahau kabisa.

Nenda pharmacy katafute vidonge vya vitamn vile vinauzwa kimoja buku kula mwez mzima, fanya mazoezi, tafuta mwana saikoloji akufanyie counseling uache na punyeto. Misosi pia jitahidi ule sana nafaka, nyanya chungu, matunda na mizizi ya bamia ukaushe uwe unatafuna tafuna tu for funny, utasahau ata kama ulishapata hayo madhara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…