Mkuu wangu,ni kwa nini unaandika ukiwa unabugia mvinyo wa bei kali?Ni msemo ambao unaendelea kutesa 'punda" wengi mjini pasipo gavoo kuelewa cz mchezo unachezwa kisiri sana na wachache wajuao but once goli limefungwa utaona sasa watu haaa kila mwenyew ananga'a macho tu bila kuelewa ...
Mazee wanasema what the hell iz goin'on meeen....!
Nb
Jaman tupige kazi
Be boss of ur own damn mind in this earth usipende vitu za "all bills paid"
Asiejua maana hambiwi maana
.
Anyway
r.I.p Ngwear.
r.I.p Agg G 'Masogawise' only ur 'lords' know
.Reff. Shunie/nyemochilongani/Michirizi Ya damu/Fareed&Bellack.
Punda akifa lazima mzigo utolewe hata kwa visu vya nyumbaniWakati mwingine Punda anakufa na mzigo unaozea njiani. This game has no rules..
Inategemea kafia wapi mkuu....Punda akifa lazima mzigo utolewe hata kwa visu vya nyumbani