Habari wadau.
Natafuta kununua pumba za mahindi kama magunia 50 kwa bei ya jumla. Naomba mnielekeze viwanda hapa dar ea salaam, napoweza kupata kwa haraka. Asanteni