public anouncement:RC arusha anena!

Naomba mungu usiku huu ishuke mvua kubwa. Watakimbia wote.
 
Huyu RPC Kilaza kweli we mwache atumike na hao magamba wao CCM,kamwe hawawezi kuishinda nguvu ya uma,wao wanapesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu.
 
Huyu RPC Kilaza kweli we mwache atumike na hao magamba wao CCM,kamwe hawawezi kuishinda nguvu ya uma,wao wanapesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu.

RC anatekeleza wajibu wake nimempenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…