Inakuwaje taasisi kubwa kama hii eti haina Form za kujiunga uanachama hasa kwa waliopo mikoani? Aibu kwenu, mnamtia aibu Rais. Na bahati mbaya hata kwenye website yenu haipo.
Hayo ndio maendeleo anayoyataka Magufili, hakuna ushindani hakuna ubunifu. Tujiandae kupata huduma za hovyo kila sehemu ambako serikali imeweka monopoly.