Wale jamaa si wote wamesomea fani zetu bali wengi wao ni wataalamu wa rasilimali watu (HR), Na unapojibu maswali hasa ya written jitahidi kuwa kama unamfundisha mwanafunzi asie jua kitu chochote kuhusu fani yako. Epuka teminology ngumu, maelezo mengi kana kwamba anaesahihisha anayafahamu yale ya fani yako.