daaaah we acha tu!hata mimi nashindwa kuelewa cjui ndo ishakula kwetu,mi nilifanya ya FINANCE OFFICER 2....please kama kuna mwenye info atujuze tusiendelee kukaa tunajipa matumaini kumbe watu washaanza kazi kitambo.

bado hawajaita ila nasikia majina yapo tayari muda mrefu cjui wanasubiri bodi ikae,ingawa pia kuna habari kuwa mamluki washaanza kuitwa chini kwa chini na watu wao,ila tuliopata kihalali bado...tuzidi kuomba Mungu,maana pekee ndiye anayeweza kutenda haki...