MKUU PS2 laki na 80???
unapatikana wApi mkuu .
hiyo ps3 yenyewe used wanauza mpaka laki na nusu hadi chini ya hapo unapata.
ww ps3 unauza 18??
watu ss hivi wanafikilia ps4 ww na ps2
kama upo bongo nikutafute kuna laki 1 tuu kama INa maslahi tuongee biashara