Biashara ya PS2 game centre inauzwa. Ipo Kijiwesamli, Dar es Salaam. Ndani ya frem hiyo kuna mashine (PS2) tatu, flat screen 24" tatu, pads, extension ya umeme, feni, viti sita vya plastic, bench dogo la mbao. Kodi bado ipo hadi June 1. Biashara ni nzuri haijaathiriwa na sera za JPM hata kidogo. Mimi naiacha kwa sababu ya usimamizi kuwa mgumu kwangu kutokana na umbali pia baada ya kujikita kwenye biashara zingine kwahiyo nitafungua centre nyingine karibu na ninapoishi. Bei ni 1650000/- tu. Karibuni. Piga 0757528827 au 0715551627