nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
Wivu tuJe gari analotumia namba yake inabidi ibadilishwe kuwa NWM au itawekwa ngao? Au inasomekaje?
Anakuwa na msafara kama Waziri Mkuu...
Kiprotokali naibu waziri mkuu ni baada tu ya waziri mkuu. Kama ulifuatilia hotuba ya rais wakati anahutubia alimtaja Makamu, akamtaja pm, kisha naibu pm, rais wa Zenji, na akaendelea.Endapo kuna shughuli ya kitaifa kwa mfano kuzima Mwenge, atakuwa wa ngapi kuingia uwanjani, kwa mfano huu..
Kwa nini umewaza kukaripia tu?Vipi kuhusu kupongeza?Kiprotokali naibu waziri mkuu ni baada tu ya waziri mkuu. Kama ulifuatilia hotuba ya rais wakati anahutubia alimtaja Makamu, akamtaja pm, kisha naibu pm, rais wa Zenji, na akaendelea.
Kuhusu ofisi, hapa panachanganya. Huyu naibu ameonekana akipokelewa na watumishi wa ofisi ya waziri mkuu na siku mbili baadaye akaenda wizara ya Nishati.
Wizara ya Nishati haitakuwa answerable kwa yeyote zaidi ya waziri wa wizara husika ambaye pia ni bosi wa wzara zote (naibu waziri mkuu). Sitegemei waziri mkuu kuja kumkalipia waziri wa Nishati ambaye pia ni naibu waziri mkuu.
Umekuwa mrefu hadi unaiona kesho?What's so special about Biteko? Ni cheo tu cha kimkakati kuwatuliza sukuma gang na kukabiliana na upepo wa CHADEMA Kanda ya ziwa, baada ya uchaguzi mkuu atakua hana impact yoyote Ile atatupwa mbali. So ni cheo Cha kisiasa tu hakina impact yoyote kwenye utendaji
Mkuu, ukiamua kuwa chawa wa mama angalau tumia akili kidogo basi ili usimuaibishe mama mwenyewe. Hivi kwa kusema 'wivu tu' ndo umejibu swali lake alilouliza? Ili kumwonyesha kuwa ameuliza maswali ya kizwazwa, ungeyatolea ufafanuzi rahisi kabisa na kumfanya aonekane hakufikiria kabla ya kuuliza. Kwa jibu la wivu tu wewe ndiye unaonekana hamnazo.Wivu tu
Rushwa ya madarakaJe gari analotumia namba yake inabidi ibadilishwe kuwa NWM au itawekwa ngao? Au inasomekaje?
Anakuwa na msafara kama Waziri Mkuu?
Ofisi yake ipo ndani ya ofisi ya Waziri Mkuu?
Endapo kuna shughuli ya kitaifa kwa mfano kuzima Mwenge, atakuwa wa ngapi kuingia uwanjani, kwa mfano huu..
E 1 (Rais) E 2 (Makamu) E 3 (Waziri Mkuu) E 4 (Rais wa Z'bar) E 5 (Naibu W M) E 6 & E 7 (Makamu wa Rais wa Z'bar) je ndivyo itakavyokuwa?
Nafasi hii inaweza kudumu hadi Uchaguzi ujao 2025?? Au ni cheo cha mkakati?