Hawa viongozi wa kiafrika wanababaika na pesa za misaada toka nje. Utakuta kiongozi anaingia madarakani kwa lengo la kufilisi nchi ili asaidie ukoo na marafiki zake. Mwaka jana Misri walimfukuza Mubarak kuwa ni mwizi na dikteta na huyu kijana wa sasa ndiye aliyekuwa anapinga vikali vitendo vya Mubarak mpaka wamisri wakampenda na kumfagilia. Leo hii anataka kuleta absolute power (kama ya Mubarak) na sheria kuwa yeye yuko above the law. Kwa kifupi anataka kuleta sheria ili awe dikteta na asiwe anaulizwa maswali hata kama akiiba kisa yeye ni Mungu mtu. Pia anataka kuleta sheria ya kiislam itawale nchi na wamisri hawataki hiyo sheria ya kiislam na udikteta wake kwani anataka kuwakandamiza watu wale wale waliomweka madarakani ili yeye aibe shinda Mubarak. Sheria ya kiislam ni ukomunist au unyanyasaji wa binadamu kwani kila mtu ana haki ya kuhamua kufanya yale ayatakaye kufanya. Wewe kama utombani eti mpake uoe ni shida yako na inakuhusu wewe, sasa kwanini ukataze watu....who are you? Wewe kama hunywi pombe ni shida yako. Wananchi wameona mbali na hawataki sheria ya kiislam nchini mwao, nawaunga mkono. Hawa viongozi wa kiafrika inabidi wanyongwe, yaani ni wezi mno na wanarudisha bara letu nyuma kiasi tunadharauliwa kila kona ya dunia.