Mwenzio juzi kaanguka msikitini. Kisa moyo umetanuka
Habari wanajamvi, mimi ni kijana wa miaka 21, ninafanya mazoezi ya weight lifting lengo likiwa ni kujenga mwili mzuri ambao upo fit. Sasa nasumbuliwa na tatizo moja, ni kwamba mimi ni mwembamba sana, na kwa kipimo cha BMI nakaribia kushuka kwenye underweight.
tangu nimeanza mazoezi nimeona faida kidogo sema nahisi narudishwa nyuma na kutokupata calories za kutosha
Najitahidi kula sana na kwa wingi ila ki-ukweli chakula ninachoweza kununua hakifikii ile idadi ya calories ninazohitaji kwa mwili wangu illi niweze kufikia uzito na mwili niutakao.
hivyo basi naulizia protein supplements, protein shakes ziweze kujalizia pale ambapo chakula hakitoshi ili malengo yafikiwe.
lengo ni kuingiza mwilini calories 3000-3500 za clean protein.
kama unafahamu wapi ntapata hizi protein supplements ntashhukuru sana ukinisaidia, kama haufahamu tafadhali naomba uache wanaofahamu washirik
usiku mwema!
kuna jamaa anafanya kazi gym ya sparta anauza bei kuanzia 180,000 kopo lina kilo mbili na kuendeleahelo mkuu niaje? me mwenyewe ninatafuta whey protein,hivi umezipata wap ? na kwa bei gan?
Naona itakuwa vyema ukaelezea humu kwa sababu ni watu wengi wanatafuta hizo kitu.Gasgas karibu Kwa ushauri 0752666283 kwani kuna pack special kwa Wana mazoezi ni nzuri Sana na wengine wote wenye uhitaji.
Nashukuru mkuu. Ya kwangu inaitwa Forever lite ultra vanilla shake mix hii Ina 18.5 oz Ni sawa na 524g unapata 4 calories per gram ina maana ukimaliza kopo inakuwa 2096, bei yake ni Tsh 70,500.00 inasaidia kujenga mwili na virutubisho kamili.
Nyingine inaitwa ARGI+ inasaidia misuli kuwa imara na yenye nguvu na kuimarisha mifupa. Hii Ina 10.6oz ni sawa na 300g bei yake ni 140,500.00
Mimi huwa najarib kupiga misosi ya kutosha hasa yenye protein zaid, thank Mungu kanipa mwili poaa nikigusa Gym kidgo najaaa hatari so hapa na avoid gym kukuza mwili bt napiga tizi ni ripped
Mkuu gasgas hizo supplements zinauzwa wapi??
Poa! Ntakucheki nikihitaji