Halow ! My fellow Jf Membars.
membars wanajeruhi lugha zote tunazozitumia hapa, lakini membars ama wanafumbiana macho ama wanaoneana aibu kukosoana na kurekibishana mimi sijui.
hata wewe hapo juu umechemka.
Ila inakera sana 'l' na 'r' zinapotumika sivyo. Au kwenye 'm' inawekwa 'mu'
sema inabidi kupotezea kuna makabila hayana 'l' na 'r' au wanatumie ndivyo sivyo.
Lakini kazi inakuwa pale mtu anapolazimisha kiingereza wakati kiswahili tu mgogoro.
halow ! My fellow jf membars.
The production of the sound of speech .
Niko katika cafeteria maarufu hapa mjini.
Nimeingia humu kwa shabaha ya kupata ka'gilasi ka'juice na vijibajia viwili-vitatu then nichape lapa na mishimishe zangu.
Pembeni yangu meza jirani nimewakuta wadada wa3 , madada ambao wanaongea sana kuliko ya kilichowapeleka pale (kula na kunywa).
Kwakua mi katika meza yangu, sikua na waku'share nae, hivyo hao wadada ndiyo wakawa redio, tv yangu.
Nikamsikia mmojawao akisema ;-
"aisey yule mkaka mnajua keshaniangukia sana !
Alafu yule mkaka yuko lisonable (resonable) sana!
Ukimdipu (ukim'beep) tu anakupigia, tena kila siku razima (lazima) anitumie cledit (credit) .
Tena hana hasila (hasira) sevelo times (several) mkaka ni mtu wa smire (smile) .
In short kwangu mie japo si muingereza lakini uongeaji huu hua unatia kichefuchefu kupita sana.
Hapa majukwaani jf tatizo hili pia limeshamiri so many membars wanajeruhi lugha zote tunazozitumia hapa, lakini membars ama wanafumbiana macho ama wanaoneana aibu kukosoana na kurekibishana mimi sijui.
mawazo yako ni mazuri sana. Lakini lazima ujue kwa mzungumzaji ambaye lugha anayozungumza si lugha yake ya kwanza (lugha mama) mara nyingi tegemea ataijeruhi. Kimsingi si vema kutumia lugha usiyokuwa na umilisi nayo hasa kama muktadha haulazimishi kutumia lugha hiyo. Kwa mafano ndugu yangu angalia kosa ulilolitenda: Umeandika "... So many membars..." badala ya "...so many members...". hivyo wakati mwingine tunawapotezea tu kwasababu ujumbe wanaokusudia unakuwa umefika.
Halow ! My fellow Jf Membars.
THE PRODUCTION OF THE SOUND OF SPEECH .
Niko katika cafeteria maarufu hapa mjini.
Nimeingia humu kwa shabaha ya kupata ka'gilasi ka'Juice na vijibajia viwili-vitatu then nichape lapa na mishimishe zangu.
Pembeni yangu meza jirani nimewakuta wadada wa3 , madada ambao wanaongea sana kuliko ya kilichowapeleka pale (kula na kunywa).
Kwakua mi katika meza yangu, sikua na waku'share nae, hivyo hao wadada ndiyo wakawa Redio, Tv yangu.
Nikamsikia mmojawao akisema ;-
"Aisey yule mkaka mnajua keshaniangukia sana !
Alafu yule mkaka yuko lisonable (Resonable) sana!
Ukimdipu (ukim'beep) tu anakupigia, tena kila siku razima (lazima) anitumie cledit (credit) .
Tena hana hasila (hasira) sevelo times (several) mkaka ni mtu wa smire (smile) .
In short kwangu mie japo si muingereza lakini uongeaji huu hua unatia kichefuchefu kupita sana.
Hapa majukwaani Jf tatizo hili pia limeshamiri so many membars wanajeruhi lugha zote tunazozitumia hapa, lakini membars ama wanafumbiana macho ama wanaoneana aibu kukosoana na kurekibishana mimi sijui.
Kwa hiyo tupronounce kama nani?kumbaf kabisa mie mbantu sirembi bwn kwetu hakuna 'l' kuna 'r' na kama hutaki kaa kimya.nakwenda kurara mura
hata wewe hapo juu umechemka.
Ila inakera sana 'l' na 'r' zinapotumika sivyo. Au kwenye 'm' inawekwa 'mu'
sema inabidi kupotezea kuna makabila hayana 'l' na 'r' au wanatumie ndivyo sivyo.
Lakini kazi inakuwa pale mtu anapolazimisha kiingereza wakati kiswahili tu mgogoro.
Asante judgement kwa kunisaidia maana hata mimi nilikuwa na wazo la kuanzisha thread kuhusu matumizii ya 'l' na 'r' hasa hapa JF. Wapo wanaJF wanaandika 'amli' badala ya 'amri' 'fulaha' badala ya 'furaha' nk. kiasi kwamba napata wazo pengine wanaJF wengi wanatoka mikoa ya Tabora, Shinyanga, na kanda ya ziwa victoria kwa sababu wenyeji wa maeneo haya huchanganya sana 'l' na 'r'Halow ! My fellow Jf Membars.