Promo maalumu kwa miraji adamu

njundelekajo

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
310
Reaction score
228
Karibu wachezaji wote wa simba sports klub wapya na wazamani washatoka kwenye makala nyingi za magazeti kuwwelezea'''kwa bahati mbaya yupo bwana mdoga anaitwa Miraji Adamu licha ya kazi kubwa aliyofanya katika mechi za mwisho kama beki namaba mbili sipata kuona gazeti au chombo chchote cha habari kikimwelezea'Katika pekua pekua yangu nimepata machache nataka mengine mniongezee humu nizidi kumfahamu'''''niliyopata ni [1]Aliwahi kuwa mchezaji bora wa copa cocacol[2] Aliwahi kuchezea Azam B kabla ya kutua SAMBA B.[3]Ni captain wa timu ya taifa china ya miaka 20........naomba mengine mnisaidie
 
Miraji Adam hachezi namba mbili, anacheza namba tatu.
 
Promo za namna hii ndo huwa zinawafanya Simba kuwa team bora ya magazetini kwa karibu miongo kadhaa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…