Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 283
- 116
Mkuu mimi nataman kutengeneza izo project ila kila nikiianza kazi kwa Android studio haiishi matatizo yaani sasa nauliza Kwenye kutengeneza project pale ni lazima uwe umeconnect na internet?? Yani uwezi kutengeneza project offlineHellow jf,nadhan mpo poa..Ninataka nitengeneze project ikifika mwez wa 12,mara ya kwanza niliunda android school app ambayo ilikuwa inasaidia wanachuo wa chuoni kwetu wakitafuta hostels,hospitals,church and mosques lakin kwa sasa nataka nije na project ingine ambayo tu haitabak chuoni lakin hata iwe sululisho katika sehemu fulani..Nisaidieni mawazo
Ukiinstall Android Studio kabla hujaifungua hakikisha unawasha data ili idownload baadhi ya components muhimu na kufanya updates kadhaa au itakuwa inaleta errors zisizoisha.Mkuu mimi nataman kutengeneza izo project ila kila nikiianza kazi kwa Android studio haiishi matatizo yaani sasa nauliza Kwenye kutengeneza project pale ni lazima uwe umeconnect na internet?? Yani uwezi kutengeneza project offline
Android studio kwa mara ya kwanza pale unapo install inahitaji bundle Kwa ajili ya kudownload SDK pamoja na Gradle. ila pia during development kuna mda unahitaji bundle hasa pale unapo ongeza dependency mpya au unapi zi upgrade.Mkuu mimi nataman kutengeneza izo project ila kila nikiianza kazi kwa Android studio haiishi matatizo yaani sasa nauliza Kwenye kutengeneza project pale ni lazima uwe umeconnect na internet?? Yani uwezi kutengeneza project offline