sina data kamili za hawa jamaa lakini crew bado ina exist lakini baadhi yao wako dar na wako ktk familia ya TAMADUNI MUSIC mfano male marxist,biznea a.k.a kuntakinte,gheto ambasador, kadGo... Hawa jamaa kwa mwanza wanakubalika sana ni crew ambayo ilibebwa sana na EDZEN THE ROCKA time ile yupo kiss fm... Huyu jamaa ezden the rocka hata sahaulika mwanza na hata Tanzania kwa ujumla kwa kuifanya hiphop new era kushine..