Haipiti miezi 6 tunasikia ghorofa limeporomoka Nairobi uliwahi kusikia wapi ghaorofa limeporomoka Tanzania? Sitaki kuamini kuwa kenya hakuna ma engineer wazuri hapana bali ni udhaifu wa bulding materials ndio maana saruji ya Kenya ni marufuku kukanjaga Tanzania