Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,721
- 2,401
JF ilikuwa inatumia custom version ya VBulletin ambayo ni PHP based. Ila naona wamehamia XenoForo ambayo pia ni PHP based.habarini , ningependa kujua je ni language gani iliyo tengeneza jamii forums web app???
pia kuna baadhi ya site zimetengenezwa kwa php ila ikiwa online huwezi kuona extention ya .php je huwa wanafanya nini hadi inaonekana page pasipo extension
karibuni
Eheheheee hata mm napita tuMe mgeni mtaa huu
Unaweza ondoa extensions katika URL au kutengeneza custom URLs kwa kutumia .htaccesshabarini , ningependa kujua je ni language gani iliyo tengeneza jamii forums web app???
pia kuna baadhi ya site zimetengenezwa kwa php ila ikiwa online huwezi kuona extention ya .php je huwa wanafanya nini hadi inaonekana page pasipo extension
karibuni
Leo thibitisha ujuha wako huku basi...!Kiruuuu! nimeingia wapi huku tena??!!
Kwa herini
Sijakuelewa!Leo thibitisha ujuha wako huku basi...!
HahahahaKiruuuu! nimeingia wapi huku tena??!!
Kwa herini
Sawa mkuu wasalimie MMUKiruuuu! nimeingia wapi huku tena??!!
Kwa herini
Sielewi kitu naona maluweluwe tuEheheheee hata mm napita tu