Habarini za wakati huu...!
Mdogo wangu amepata multiple selection ktk third round iliyotolewa na TCU, programme alizochaguliwa n km ifuatavyo;
1. Bachelor of science in molecular biology and biotechnology. (UDSM).
2. Bachelor of science in food science (SUA).
Mosi, naomba kuuliza kwa wenye uzoefu wa wa course hizo je n course ipi itamfaa huyu dogo?
Pili, naomba kufahamu hizi n course zinazohusiana na masuala yapi?
Tatu, naomba kufahamu pia hali ya upatikanaji wa ajira pamoja na fursa zngne kwa course hizo.
Karbuni kwa msaada.