Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 355
- 702
Utakuja kunishukuru Mwl MwakujongaKwa simu tumia TUBE PRO VIDEO DOWNLOADER, kwa PC tumia 4K VIDEO DOWNLOADER
Fafanua vizuri mkuuKama unatumia PC ni rahisi sana.
Mfano upo youtube.com ukishafungua video yako.
Nenda pale juu kwenye website edit kwa kuweka pp kabla ya .com
Kisha utaipakua video katika format uipendayo iwe 480, 720 au 1080
Swadakta👊Kama unatumia PC ni rahisi sana.
Mfano upo youtube.com ukishafungua video yako.
Nenda pale juu kwenye website edit kwa kuweka pp kabla ya .com
Kisha utaipakua video katika format uipendayo iwe 480, 720 au 1080
Ahsante Sana nimefanikiwa ni program nzuri Sana hiiKwa simu tumia TUBE PRO VIDEO DOWNLOADER, kwa PC tumia 4K VIDEO DOWNLOADER
Ya play store jau ,mimi niliwahi kudowload play store ni ushubwada ila kuna jamaa wangu alinitumia link wasap nikaidowload hiyo vidmate nyingine ipo mbomba sana unaweza hata kuselect kwenye video uje audio tu pamoja na quality unayoipenda.Vidmate
Vidmate nakubali sana ila za play store hazina maajabu za browser ndio zenyewe.Vidmate, lakini idownloadie kwenye browser
Unadownload ya kwenye kivinjari sio google play. Ni kweli ina uchaguzi wa kubadili video kuwa audio.Ya play store jau ,mimi niliwahi kudowload play store ni ushubwada ila kuna jamaa wangu alinitumia link wasap nikaidowload hiyo vidmate nyingine ipo mbomba sana unaweza hata kuselect kwenye video uje audio tu pamoja na quality unayoipenda.