Prof. Palamagamba Kabudi ni nani!?

hadi 2020 kanda ya ziwa tutajaa wote serikalini,
 
Huyu huyu palamagamba nikimkumbuka jinsi alivyo toa mapovu wakati akitetea rasim ya katiba ya warioba na baadae kuwa baridi kama maji ya mtungi!! Onashangaza sana
 
Huyu huyu palamagamba nikimkumbuka jinsi alivyo toa mapovu wakati akitetea rasim ya katiba ya warioba na baadae kuwa baridi kama maji ya mtungi!! Onashangaza sana
Ulitaka afanyaje mkuu? Na unahisi yeye ndio alikwamisha huo mchakato?

Acha kutoa lawama na chuki zisizokuwa za maana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof Palamagamba ni mgogo mzaliwa wa mvumi makulu,baba yake ni mgogo wa manyoni na mama yake ni mkaguru wa kilosa morogoro,baba yake alikuwa ni mwalimu wa shule ya msingi mvumi makulu pia akiwa ni muamini mkubwa wa kanisa Anglican la Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDUGU ZANGU TUSIPIGE KELELE SANA NA HAWA MA PROFESSA NA PhD WETU WA HAPA BONGO!..................INABIDI TUTAFUTE ELIMU ILI TUWEZE KUTOFAUTISHA JAMBO HILI KWA KINA!...............NANI MSOMI KATIKA JAMII? NANI ANA ELIMU KATIKA JAMII? NA SISITIZA KUNA TOFAUTI KATI YA MTU MSOMI NA MTU MWENYE ELIMU!
 
He is our next president after 10 year of Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…