Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,136
Yani inauma pale Ambapo ulishindwa kulipa kwa wakati kisa hukuwa nayo Sasa unaongezewa nyingine Dah vyuo vingine Hivi bora vife kabisa mkuuMkuu, hii nchi inawenyewe sisi makapuku tutaendelea kuisoma namba hadi tunaingia kaburini
tatizo mfumo wa sasa mbovu.. pole sana. tukutane 2020Ombi langu kwa viongozi wa serikali jamani tunapigwa penalty eti kisa nimechelewa kulipa Ada hii ni haki? Sisi Wengine watoto wa wasaka tonge tunakaa wapi izo pesa? Tembeleeni vyuo vya private mjaribu kusikiliza kero Za wanafunzi mtabaini uwonevu uliokithiri.. Daah. Aisee nimeongezewa 50000 adi Leo naifikiria naitoaje ili hali UE Bado inakera Sana.
Mkuu inaboa Sana Unajua 50000 unatoa ya bure kabisa mwenyewe maisha yangu ya apa kuunga unga Asa Duh inauma Sana mkuuMkuu unasoma RUCO iringa nn? Maana nakumbuka hicho chuo kilikuwa kinatupiga amount hyo hyo kama penati..endapo umechelewa kulipa ada
Sawa Ndio ghali Ila Sasa tuna Tafuta eti mzazi anajitafuta kule kijijini natumiwa nilipe Ada naambiwa nimechelewa kupeleka risiti mkuu nilitokwa chozi la asira sana.. Ada yenyewe ndefu inaboa sanaMKUU WAHENGA WALISEMA KAMA ELIMU NI AGHALI BASI WACHA TUJARIBU NA UPANDE WA PILI
Pole sana mkuu jipe moyo mwananguSawa Ndio ghali Ila Sasa tuna Tafuta eti mzazi anajitafuta kule kijijini natumiwa nilipe Ada naambiwa nimechelewa kupeleka risiti mkuu nilitokwa chozi la asira sana.. Ada yenyewe ndefu inaboa sana
Ngoja niitikie hapo pole Sisi kwetu inatoka na japo Buku ivi la vochaPole sana mkuu jipe moyo mwanangu
Mkuu Ndio maana Nimesema cha private Unaweza ukakijua jua tu koz vinaesabika sio fresh Sana kutaja majina Husika kwa itifaki flan flan mkuu Samahan kwa ilo Ila uku nyanda Za juu kusiniChuo gani mbna unaficha ficha
Au chuo magumashi
Tcu bora walipoondolewa hii ndo madhara ya kupekekwa chuo kwa madhari ya biashara mtu aombe chuo anachokitaka sio kufosiwa na Tcu Utadhani wao ndo walikeshea matokeo yangu ya nectaSisi wenzio penalty 100,000/= kwa kweli sio haki
Mkuu kumbe uko hukp kwenye Baridi,Mkuu Ndio maana Nimesema cha private Unaweza ukakijua jua tu koz vinaesabika sio fresh Sana kutaja majina Husika kwa itifaki flan flan mkuu Samahan kwa ilo Ila uku nyanda Za juu kusini