Prof. Ndalichako hii ni haki kupigwa penalty kisa nimechelewa kulipa Ada?

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Ombi langu kwa viongozi wa serikali jamani tunapigwa penalty eti kisa nimechelewa kulipa Ada hii ni haki? Sisi Wengine watoto wa wasaka tonge tunakaa wapi izo pesa? Tembeleeni vyuo vya private mjaribu kusikiliza kero Za wanafunzi mtabaini uwonevu uliokithiri.. Daah. Aisee nimeongezewa 50000 adi Leo naifikiria naitoaje ili hali UE Bado inakera Sana.
 
Mkuu, hii nchi inawenyewe sisi makapuku tutaendelea kuisoma namba hadi tunaingia kaburini
 
Mkuu wahenga walisema kama elimu ni aghali basi wacha tujaribu na upande wa pili
 
Ombi langu kwa viongozi wa serikali jamani tunapigwa penalty eti kisa nimechelewa kulipa Ada hii ni haki? Sisi Wengine watoto wa wasaka tonge tunakaa wapi izo pesa? Tembeleeni vyuo vya private mjaribu kusikiliza kero Za wanafunzi mtabaini uwonevu uliokithiri.. Daah. Aisee nimeongezewa 50000 adi Leo naifikiria naitoaje ili hali UE Bado inakera Sana.
tatizo mfumo wa sasa mbovu.. pole sana. tukutane 2020
 
Mkuu unasoma RUCO iringa nn? Maana nakumbuka hicho chuo kilikuwa kinatupiga amount hyo hyo kama penati..endapo umechelewa kulipa ada
 
Mkuu unasoma RUCO iringa nn? Maana nakumbuka hicho chuo kilikuwa kinatupiga amount hyo hyo kama penati..endapo umechelewa kulipa ada
Mkuu inaboa Sana Unajua 50000 unatoa ya bure kabisa mwenyewe maisha yangu ya apa kuunga unga Asa Duh inauma Sana mkuu
 
MKUU WAHENGA WALISEMA KAMA ELIMU NI AGHALI BASI WACHA TUJARIBU NA UPANDE WA PILI
Sawa Ndio ghali Ila Sasa tuna Tafuta eti mzazi anajitafuta kule kijijini natumiwa nilipe Ada naambiwa nimechelewa kupeleka risiti mkuu nilitokwa chozi la asira sana.. Ada yenyewe ndefu inaboa sana
 
Kuna cha serikali nakifahamu waliochelewa kulipa ada management system mwisho wa yote iligoma kutambua malipo baada ya deadline. Jamaa ilibidi warudie mwaka, walifanya mtihani wa chuo lakini wakashindwa kupata majibu kwani system iliwatema. Hivyo kuna haja ya kuwa makini.
 
Sisi wenzio penalty 100,000/= kwa kweli sio haki
Tcu bora walipoondolewa hii ndo madhara ya kupekekwa chuo kwa madhari ya biashara mtu aombe chuo anachokitaka sio kufosiwa na Tcu Utadhani wao ndo walikeshea matokeo yangu ya necta
 
Mkuu Ndio maana Nimesema cha private Unaweza ukakijua jua tu koz vinaesabika sio fresh Sana kutaja majina Husika kwa itifaki flan flan mkuu Samahan kwa ilo Ila uku nyanda Za juu kusini
Mkuu kumbe uko hukp kwenye Baridi,
Hebu nikupe pole nyingine ya kuteseka na baridi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom