Prof. Mwandosya anena ya moyoni

Status
Not open for further replies.
Dalili za kuanguka kwa babeli, ni watu kutofautiana lugha.

Asante Mungu maovu yao yamewarudia wenyewe
 
Mbona kama ameongea kiuoga uoga sana hajiamini vile...yani ukimsoma anatamani kutoka huko ccm....lakini pia akifikiria maisha njee ya ccm mmmmh...ni utata vile.
 
Kikwete alikuwa anachanganyikiwa kwenye mkutano anasema ndugu Mwenyekiti... Aaaarggh kumbe Mwenyekiti ni mimi!! Mambo yao yameisha. Ndo maana ameamua kupunguza stress anakuja na kuondoka anawaacha kina Ndugai wanaua watu kwa fimbo za kichwa!
 
Kwani karume si alikufa,1964,sasa misingi ua ccm alishiriki vip,mda gani,wapi,
 
Nampongeza Eddo ukawa wamemnusuru pia kaonyesha ujasiri hivyo nazidi kumwamini kwa mamuzi magumu kajipiga chini mwenyewe ndani ya ssm pia kajiongeza inanekana anao uwezo ukifanya ujinga anakupotezea mazima
 
kweli,kama ukiwa Prof.uwezo wa kujenga hoja na kuongea ukweliunafifia basi mimi nitakomea PhD tu!Mzee mnafiki tu jipe raha acha kujimaliza kimyakimya kwa kuwa afya yako ni dhaifu mzee!!!!!!!!!!!!!!
 
kama miaka ishirini iliyopita mwasisi wenu aliwachoka mpaka akawaita madodoki mnafyonza tu na hamkuckua hatua leo tuwaiteje?
Lowasa ndie mkombozi hajakiriri unayo yasema bali ame yalewa kama mhindi umebaki gunzi tu.hama ukumbukwe na kizazi hiki.
 

Walisha itelekeza na sasa ni chukua chako mapema
 

Labda wana simamia miiko ya kusongea ugali
 
Mkuu naona leo umeingia night shift ..malipo ya day/ night yanatofautiana?

Wasi wasi wangu ni juu yako nani atakulipa maana nape yupo mtama kwenye mtifuano,mwigulu anahojiwa na pcb,au umeamua kulimbikiza madai?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…