Prof. Maghembe: Marufuku kusafirisha mkaa kutoka wilaya moja kwenda nyingine kuanzia Julai

Hivi kwanini wasingeanzisha hivyo viwanda vya mkaa kwenye majiji na kufuta kodi kwenye gesi kisha ndio waje na haya matamko?

Life is full of suprises
 
Huyu uwezo wake wa kufikiri umeshafikia mwisho, hawezi fikiri zaid ya hapo tena
 
jamani, nani anayo mashine ya kutengeneza Mkaa? ninahitaji haraka ili nami nianzishe kiwanda niandikie sms tuzungumze. serious nahitaji. 0784 686575
 
Prof, dawa pekee ni kutumia sheria kulazimisha watu wapande miti na kuitunza. Gesi iko wapi?
 
Nikiwa kama afisa misitu nadiriki kusema kuwa hili agizo alitekelezeki. Mawaziri wenyewe wanapikia mkaa. Kwanza kabla ya agizo Kuanza kutekelezwa nashauri itafutwe alternative B ya nishati ya kupikia otherwise hizo ni siasa tuuuu
 
Wangepunguza bei ya gesi,mkaa watu wataachana nao automaticaly tu

Ova
 
Wazee wa "KIKI" hawaaminiki sana wanapimia upepo baadaye "Mkemia" aje atengue haya maagizo aibuke nyota wa mchezo,Ila kama wanamaanisha basi kazi ipo
 
Haya ni matamko ya kukurupuka hovyo. Mtu wa level ya uwaziri unakurupuka na tamko la aina hii???
 
Gesi beikubwa mno jaman kama mkaa utazuiwa si hata kuni zitazuiwa pia
 
Hongera sana Prof kwa hatua hizo.ila nabaki najiuliza kichwa hiki kilikuwa wapi miaka yote kinakuja kugutuka sasa?
 
Walisema hadi mwezi July 2017 tutatumia Gesi ya Mtwara majumbani..sijui tumefikia wapi huo mkaa wapige tu marufuku sisi hatuna shida watakaoumia ni hao watumishi wa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…