Prof lipumba ndani ya ITV

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,318
Reaction score
408
Wakizungumzia mambo yaliyoikumba cuf pamoja na mambo ya Tanesco
 
Lipumba ajitazame upya anatia Aibu,Yalie otokea CUF kayajuaje nae aliekuwa nje? Aliyoyaongea ni uongo mtupu Kama alivyoongea mwaka 2000 kuwa CUF imeibiwa kura zanzibar akatakiwa kuthibitisha akashindwa akashtakiwa akalipa FAINI tsh. Milioni kumi kwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa zanzibar. Hii wenzake wamemchomekea,CUF is hakuna.
 
Busara zero ukiondoa hiyo elimu yake. ang'atuke huo uenyekiti ili abaki na heshima aliyojijengea kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…