U Uungwana Vitendo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,342 Reaction score 527 Jan 7, 2015 #1 eeeeeh ndo kama ilivyo hapo juu atazungumza na wananchi wa magomeni mikumi kata ya MZIMUNI mtaa wa mtambani katika muendelezo wa kuwashukuru wananchi kwa kuchhagua viongozi wa cuf.MTAA HUO ULIFANYWA MARA MBILI LAKINI MAGAMBA HAYAKUFUA DAFU hakiiii
eeeeeh ndo kama ilivyo hapo juu atazungumza na wananchi wa magomeni mikumi kata ya MZIMUNI mtaa wa mtambani katika muendelezo wa kuwashukuru wananchi kwa kuchhagua viongozi wa cuf.MTAA HUO ULIFANYWA MARA MBILI LAKINI MAGAMBA HAYAKUFUA DAFU hakiiii
K Kilaza JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 3,324 Reaction score 1,378 Jan 7, 2015 #2 keep the fire burning
T Tanzania Kwanza 2015 JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 452 Reaction score 164 Jan 7, 2015 #3 Kilaza said: keep the fire burning Click to expand... Petrol kwa Magamba...
N nuru ya upendo Member Joined Nov 1, 2014 Posts 6 Reaction score 1 Jan 7, 2015 #5 tunaomba update jamani kwa watakaokuwepo
Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,658 Jan 7, 2015 #6 Nikihakikishiwa usalama wangu zidi ya Panyaroad takuja.
Felix Aweda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 507 Reaction score 145 Jan 7, 2015 #7 Mpaka kieleweke.