B Bulesi Platinum Member May 14, 2008 14,211 13,726 Jul 21, 2010 #2 Kuingia kwa DR. Slaa kwenye ngwe ya kugombea Urais ndio kutawafanya CCM kumtafutia sababu za kukacha mdahalo kwa mgombea wao; kwani sasa maji yatakuwa marefu zaidi kwa muungwana!!
Kuingia kwa DR. Slaa kwenye ngwe ya kugombea Urais ndio kutawafanya CCM kumtafutia sababu za kukacha mdahalo kwa mgombea wao; kwani sasa maji yatakuwa marefu zaidi kwa muungwana!!
Kachanchabuseta JF-Expert Member Mar 8, 2010 7,269 675 Jul 22, 2010 Thread starter #3 King of Kings said: Moved Click to expand... Someone moved my post jamani
B buliba Member Feb 18, 2010 27 2 Jul 22, 2010 #4 Nani kafuta tena ndugu...mnaanza kufanya umafia humun ndani?
minda JF-Expert Member Oct 2, 2009 1,068 65 Jul 22, 2010 #5 inasikitisha kuona jimbo la karatu linarudi tena ccm.
andrewk JF-Expert Member Apr 13, 2010 3,102 488 Jul 22, 2010 #6 Ebu CUF wamruhusu Hamad Rashid awe mgombea mwenza wa dr slaa