ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 155
- 184
Sasa audio iko wapi?PROFESOR JAY FT LB GENIUS & IMAM ABAS " NA BADO"
Natumia nafasi hi kudhibitisha kipaji changu/ nikiwa ni mkakati wa kuinua jina langu/ na huu sio mkwala tu ni msisitizo wenye nia/ kama kipaji kipo sioni wa kuziba njia/ nadhibitisha mc umahili kimiundombinu/ na jay na lb kwenye mpango ndani ya kino/
Nipo fresh na bado nitazindi kuthibisha/ kadri siku zinavyokwenda ndivyo ndavyo tisha/ thamani ya kipaji changu ni zaidi ya uhai wa mtu/ kinauwezo kuelimisha na kubadirisha mtu/ na anzisha vita baridi aje mpinzani wa jadi/ kama osama na bush rap izushe jihadi/
Jino kwa jino tu sambamba jukwaani/ hata aje ngwiji sihofii kutoa ushindani/ na amini uwezo huo ninao na ninazua mtafaruku wabishane wao kwa wao/ fani uwanja wa vita na ndani nisha vaa kwanda/
Nakoleza ushambulizi na siogopi kupondwa/ Tungo zangu silaha na kipaji ndio Ngao/ ole wao vichwa pumba Kazi kwao na Bado.
Lb GENIUS - Na bado ( professor jay)
π₯π₯π₯π₯
Ukwaju wa kitambo
0767542202
Nimelifanyia kazi omnbi lako .. fuatilia hii page nimekwisha iweka hiyo verse ya imamKuna verse ya Imam Abbas huno ndani sio mchezo.. ngoma ilikua kali sana ingawa Mixing haikuwa nzuri nadhani ilivuja kabla haijafanyiwa vizuri Mixing and Mastering..
-Imam Abbas
''Amani kwa Steve (RiP) na Baraka, hutugusi kaka, ma Emcee wenye roho saba za Paka''. π₯
Audio iko wapi sasa
PowTushushiage na Audio ya wimbo husika kama itakua ipo ndani ya uwezo wako