M mambomengi JF-Expert Member Joined May 16, 2009 Posts 829 Reaction score 242 Nov 22, 2013 #21 Wamejiuzulu au wamewajibika. Hii kuwajibika au kuwajibishwa imechelewa sana, ilitakiwa itokee November 2010!
Wamejiuzulu au wamewajibika. Hii kuwajibika au kuwajibishwa imechelewa sana, ilitakiwa itokee November 2010!
peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,168 Nov 22, 2013 #22 kama hili ni kweli, basi ndio mwisho wa cdm
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,798 Nov 22, 2013 #23 Gurtu said: Hiyo ni habari nzuri kwani watakuwa wamechemsha. Wajiuzulu ili tujue moja. Tunachojua ni kuwa wataondoka makapi lakini CDM itabaki na wale ambao wapo CDM kwa dhamira ya mabadiliko ya kweli siyo nusu nusu. Click to expand... Vichwa vyenye akili timamu vinaondoka,na makapi yanaongezeka! Just imagine,afande sele awe waziri! Au Lema awe waziri! Ha ha ha! Poor chagadema!
Gurtu said: Hiyo ni habari nzuri kwani watakuwa wamechemsha. Wajiuzulu ili tujue moja. Tunachojua ni kuwa wataondoka makapi lakini CDM itabaki na wale ambao wapo CDM kwa dhamira ya mabadiliko ya kweli siyo nusu nusu. Click to expand... Vichwa vyenye akili timamu vinaondoka,na makapi yanaongezeka! Just imagine,afande sele awe waziri! Au Lema awe waziri! Ha ha ha! Poor chagadema!
Petiro JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 309 Reaction score 45 Nov 22, 2013 #24 bila shaka huu ndio mpango uliosukwa na kuzungumziwa na wassira cdm kitakufa v.soon bila shaka wamebugi step meeeen
bila shaka huu ndio mpango uliosukwa na kuzungumziwa na wassira cdm kitakufa v.soon bila shaka wamebugi step meeeen