PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
Umewasiliana nae?????...tutakuaminijeni uongo na hao ni matapeli .
nimewasiliNa na mama tibaijuka kanambia ni uongo na kasema tumsaidia kuwaaambia na wengine wajiepushe na upuuzi huo
Mama Tibaijuka anakuwaga hapa akitaka kujisafisha, je hii si ni zaidi ya hapo anayokimbiliaga kuyaelezea hapa? Aje yeye mwenyewe kutoa ufafanuzi wa jambo hili sio kutuma watu, what is wrong with these poeple?Umewasiliana nae?????...tutakuaminije
Kumbe yupo jamii forum? ?Mama Tibaijuka anakuwaga hapa akitaka kujisafisha, je hii si ni zaidi ya hapo anayokimbiliaga kuyaelezea hapa? Aje yeye mwenyewe kutoa ufafanuzi wa jambo hili sio kutuma watu, what is wrong with these poeple?
Uwongo Tibaijuka asmekanusha hii kitu kama vipi Moderator fanya kaziJOB ALERT! Are you interested in joining the NGO community, working to bring relief to those most affected by extreme poverty in Africa? Send me your CV through my email annatibaijuka200@gmail.com or visit ONE to apply. Minimum qualification is Secondary Education and must be willing to work in other African countries. Members of the scout movement, Rotary International and the Lions Club will be given first consideration during shortlisting..
Nimekutana na tangazo hilo hapo kule FB, nikaona ni vema nilete hapa ili nipate taarifa kama ni kweli au watu washaanzisha ujasiliamali.
Na kwakua Prof.Tibaijuka ni member hapa, anaweza kutoa ufafanuzi pia.
Aksante!
Ànatumia id gani tumtafuteMama Tibaijuka anakuwaga hapa akitaka kujisafisha, je hii si ni zaidi ya hapo anayokimbiliaga kuyaelezea hapa? Aje yeye mwenyewe kutoa ufafanuzi wa jambo hili sio kutuma watu, what is wrong with these poeple?
Ni uongo ! na waliofanya mchezo huu wanatafutwa,,,,Mimi naona hii kazi ni kweli'
Tumeni cv kama kweli si mtaitw? Kwani wanawachangisha pesa hapo?
Kumbe yupo jamii forum?