Huwezi kuinstall
madereva bila kujua wanaendesha gari( Hardware) gani. so kitu cha kwaza inabidi ujue
Hardware name na model ya dereva iunayotaa kuinstall.
Kama unatumia windows Nenda kwenye computer management. Right click kwenye
my computer chagua
manage Then selcte
Device managaer. Utaona listi ya hardware upande wa kulia .
Kama i got you right jaribu ku expand Icon ya
Network adapaters hapo utaona majina ya ya harware ambazo kompyuta zako lazima iwe na driver zake. Hapo utaona hardware zinazohitaji madereva mfano itakuwa ni Atheros Wireless Network adapter , Realtek fast ethernet NIC . nk. depending on hardware zilizomo ndani ya hiyo nc6000
Kama kuna driver yeyote haijawa installed itakuwa na kialama cha kuuliza chenye
rangi ya njano.
Kama wirelss harware ya nc yako ni
Broadcom Download driver za broadcoma . kama wireless hardware yako ni
Intel download driver za Intel.
Kwa kujua jina la hardware itakuwa rahisi kujua ni dereva gani unatafuta.
Vile vile HP ni moja ya kampuni yenye support website nzuri na yenye helpful info rmation
Cheki hiyo link.
http://h20000.www2.hp.com/bizsuppor...367367&swLang=8&taskId=135&swEnvOID=228#11395