Pro Evolution Soccer 2015 {PES 2015}

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
644
KONAMI wameonekana kutowafurahisha wateja wao hasa wale wanaotumia windows{pc} baada ya kushindwa kuweka DEMO kwenye game lao jipya ambalo linasubiliwa kwa hamu la pes 2015 hali hyo imetokea baada ya wateja weng wa pc kudownload bure magame yao na kuwaingzia mapato hafifu,lakini hali nitofauti kwa wale wa x box & ps 5 hao wamepewa demo kwakuwa hakna udanganyifu kule na kwa mujib wa website yao ya konami game hilo lnatarajiwa ktoka november 13 mwaka huu

mytake kama konami wameamuakutufanyia hivyo sisi wateja wa pc wapo hatarin kupoteza wateja wao weng ambao watahamia EA sports kama game lao jipya la FIFA 15 litakuwa na movment za ukwel kama walivyoeleza, ambao walikili kuboronga swala la movment kwenye FIFA 14 karibun jaman na nyie mnalionaje hili swala​
 
kama kumbukumbu zangu zipo sawa hata fifa demo lilianzia kwenye console ndo ikaja pc,

waiba magame wengi wana pc za kimaskini fifa 15 inataka pc ya ukweli hivyo watu wataiba ila watashindwa kucheza.

na game la pc lipo pes 2015 lipo private lakini jamaa wana upload video zake youtube, la pc ni baya compare na la xbox/ps
 
hivi crack ya fifa 15 pc ishatoka maana naitafuta kwelii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…