Unai Emery
Member
- Nov 19, 2019
- 79
- 62
Ligi yetu iko juu kwa sasa.Kumbe tunajitahidi
Kasome tena ni milioni 500 kwa bingwa na inaenda ikipanda mpaka mwisho wa mkataba wa Azam itafika bilioni 1 na milioni 250Nadhani mnapotosha, ligi ya NBC mshindi hubeba 100,000,000
Hizo zingine ni za TV rights
Zawadi official ya ligi ni 100M ila hizo ni bonus za Azam Tv, na kwa maana hio ukibeba ubingwa unakunja 600M bila shidaKasome tena ni milioni 500 kwa bingwa na inaenda ikipanda mpaka mwisho wa mkataba wa Azam itafika bilioni 1 na milioni 250
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Hizo ni TV rights ila NBC mshindi wake ni 100Kasome tena ni milioni 500 kwa bingwa na inaenda ikipanda mpaka mwisho wa mkataba wa Azam itafika bilioni 1 na milioni 250
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Watu wengi hawana uelewa pamoja na kusomaKuna ya hela ya mshindi wa ligi inayotolewa na NBC km mdhamini mkuu ni million 100 na hela za matangazo kwa mshindi wa ligi kuu inayotolewa na Azam media group million 500 na hii Kila mshiriki anapewa kulingana na nafasi aliyoshika kwenye msimamo.............tusichanganye mambo wadau
Kwetu nyingi sana ami yanguZanzibar ndiyo funga kazi.
Mshindi wa kwanza ni Tsh milioni 50!
Mshindi wa pili ni Tsh milioni 25!
Mshindi wa tatu ni Tsh milioni 15!
Mshindi wa nne ni Tsh milioni 7!
Kwa hali hii Tanganyika itakuja iendelee kweli?
Hiyo ya Egypt ni sawa na USD 64,778.80Prize Money for Some African Leagues!
Nigeria π³π¬
Premier League Winner N100 Million ($216,037)
South Africa πΏπ¦
PSL Winner R15 Million ( $800, 565)
Morocco π²π¦
Botola Winner MAD 3 Million ( $296,280)
Egypt πΎπͺ
Premier League 2million EGP, 500,000 AED
Tanzania πΉπΏ
Premier League Winner Tsh500 Million ($209,643)
DR. Congo π¨π©
Linafoot Winner ($100,000)
Cameroon π¨π²
Ligue 1 CFA 50 Million ( $82,026)
Eswatini πΈπΏ
Premier League SZl 1 Million ($53,705)
Angola π¦π΄
Girabola Winner AoA 25Million ($37,600)
Ghana π¬π
Betpawa League Winner Β’300,000 ($26,510).
Zambia πΏπ²
Premier League Winner K500,000 ($25,319)
Kenya π°πͺ
Premier League Winner KeS 3Million ($22,000)
Uganda πΊπ¬
Premier League Winner Ksh60 Million ($16,098)
Liberia π±π·
First Division L$1.5 million ($20,000.00)
AahaaaaaaKumbe Kuna baadhi ya nchi naweza kudhamini ligi zao