Private driver

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
38
Reaction score
17
Habari ya wakati wakuu, natumai mnaendelea vyema.

Tangu jamiiforum kuzuiwa, hii ni post yangu ya kwanza, Hivyo napenda kutumia mda huu kutoa pole kwa wale wote walio kumbwa na majanga ya October 29, 2025. Wapo walio poteza wapendwa wao/ walio poteza mali, kikubwa Mwenyezi Mungu azidi kutupigania.

Pia, natoa shukurani zangu kwa wale wote walioniamini nakufanya nao Kazi mbarikiwe.

Shughuri zangu za udereva zinaendelea ikiwa tunaenda kufunga mwaka. Miongoni mwa huduma,.

1. Kuendesha familia,
2. Kuendesha mtu binafsi nje ya familia.
3. Kusafilisha magari, kutoka Dar kwenda mikoani.
4. Private car driving skills.
Hii, imejikita kuwafundisha watu gari kwenye mazingira yao ya nyumbani na mda wao.

Namna Kazi zinafanyika ni
Kwa saa/masaa/wiki/mwezi n.k

Gharama. Itategemea na huduma/Kazi

Mawasiliano
Call: 0627776134
Whatsapp: 0714016639
Email: jamesjoshuaem@gmail.com

πŸ™πŸ™
 
Una maneno mengi! Hufai kuwa dereva binafsi ila wa malori
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…