Printing Solution

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
27,665
Reaction score
55,548
Wakuu..
Habari za mda huu.
Bila kuzinguka. Kijana wenu nimeachana na kutegemea pesa za mishangazi kama ilivokua zamani.

Safari hii nimekuja na official work kabisa.
Nachoitaji ni sapport zenu wakuu maana mjini pamoto
Hapa tunafanya kazi zote za print, mpaka 3D printing

Tunachapisha mabango ya PVC, sticker, roll-up banner hadi mita 3.2.

Rangi kali, hazifii juani ☀️
Bei nafuu, kazi safi, tunadeliver Dar.

Unaweza nipata kwa email
technologia815@gmail.com

Tunapatikana KINONDONI

Mda wowote ule na saa yoyote ile kwa maongezi zaidi..
AHSANTENI SANA
Vishu Mtata
Vincenzo Jr
Mbaga Jr
Wakuu nitafutieni michongo hapo
 
Kijana weka namba yako ya simu badala ya email.
 
Hongera kaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…