Ni kweli kwa maeneo ya mjini biashara hii imepungua sana hasa kutokana na kupungua kwa street photograph kulikochangiwa na kuja kwa smart phone, lkn kwa maeneo ya vijijini biashara bado ipo, japo ni ya msimu, hasa wakati wa sikukuu na matukio makubwa kama harusi, ubatizo, misiba nkSorry kwa kutoka nje ya mada, ivi biashara ya kusafisha picha bado inalipa. Maana naona imepoa sana siku za hivi karibuni kuna wahindi walikuwa na branch kibao karibu nchi nzima wamefunga wamehamia zao Canada kuna jamaa yangu kafanya nao kazi miaka kama 10 hivi karudi zake Moshi baada ya Wahindi kufunga. Mimi naona kama una pesa nzuri jaribu kwenye mashine kubwa za mabango naona kama upepo umehamia huko.
Zinauzwa kuanzia laki 3 hadi tatu na nusuMe naulizia zile mashine ndogo za kuprint picha portable ambazo wapiga picha huwa wanatembea nazo na kuprint pcha papo hapo
Mwenye kuzifaham bei yake naomba anijuze wakuu
Sent using My phone