antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 452
- 886
Mie niliinunua wiki mbili zilizopita na inaprint picha na card 850 siyo 805 CC carihaUongo wa wazi huo
Labda l805 na version zake
Au mtumba[emoji23][emoji23]
Umeongea ukweli,mpaka 780,000 unapataInauzwa laki 8 tu ndugu yangu hapo kariakoo CC cariha
Nilitaka nitoe hata namba ya simu ya dukani wanapoiuza. Kwa nini tunapenda kuuana hapa JF?Umeongea ukweli,mpaka 780,000 unapata
hii hapa mpya 835000 tena punguzo hadi 800,000 kama unabisha piga namba izo kwenye attachement ATTACH=full]958940[/ATTACH]Ni printer Mpya Kabsa haijawahi kutumika utaanza kuifungua wewe mwenyew mm niliagiza so zikaja mbili mfululizo na niliagiza kwa bei ya jumla na dukani inauzwa 1250000 hadi 1200000
Kazi yake
Ina print
Inatoa copy high quality coloured na black and white
Ina scan
Inatoa picha za simu na camera
Passport size
Haimalizi wino yaani hata kama unakazi nyingi ukinunua wino wa 22000 unapiga kazi mpaka unasema labda haitumii wino
Ina cd yake pia ni screen touch
View attachment 958836
Location dar es salaam
Kwa bei hiyo umepigwa mkuuNi printer Mpya Kabsa haijawahi kutumika utaanza kuifungua wewe mwenyew mm niliagiza so zikaja mbili mfululizo na niliagiza kwa bei ya jumla na dukani inauzwa 1250000 hadi 1200000
Kazi yake
Ina print
Inatoa copy high quality coloured na black and white
Ina scan
Inatoa picha za simu na camera
Passport size
Haimalizi wino yaani hata kama unakazi nyingi ukinunua wino wa 22000 unapiga kazi mpaka unasema labda haitumii wino
Ina cd yake pia ni screen touch
View attachment 958836
Location dar es salaam
Daa mkuu niunganishe na wauza computer mtumba bei simple na mashine za laminationhii hapa mpya 835000 tena punguzo hadi 800,000 kama unabisha piga namba izo kwenye attachement ATTACH=full]958940[/ATTACH]
namba ni hizi computer mtumba bei cheeeeDaa mkuu niunganishe na wauza computer mtumba bei simple na mashine za lamination
Duh...!hii hapa mpya 835000 tena punguzo hadi 800,000 kama unabisha piga namba izo kwenye attachement ATTACH=full]958940[/ATTACH]
mwingine huyu tena anauza 750000 yupo humu humu jf anaitwa Amani mfaumeNi printer Mpya Kabsa haijawahi kutumika utaanza kuifungua wewe mwenyew mm niliagiza so zikaja mbili mfululizo na niliagiza kwa bei ya jumla na dukani inauzwa 1250000 hadi 1200000
Kazi yake
Ina print
Inatoa copy high quality coloured na black and white
Ina scan
Inatoa picha za simu na camera
Passport size
Haimalizi wino yaani hata kama unakazi nyingi ukinunua wino wa 22000 unapiga kazi mpaka unasema labda haitumii wino
Ina cd yake pia ni screen touch
View attachment 958836
Location dar es salaam
karibu tupo hapa wauzaji wa uhakika wa used computers.Daa mkuu niunganishe na wauza computer mtumba bei simple na mashine za lamination
Najua ni wagumu kutoa majibukaribu tupo hapa wauzaji wa uhakika wa used computers.
bonyeza 0624748884 au 0719484663 tukuhudumie.
Sijakuelewa,bajeti yako ni sh 300,000 au iwe na hard disk zaidi ya 300 gb?anyway karibu computer zinapatikanaNajua ni wagumu kutoa majibu
nataka computer used ram 4GB
uwezo hiwe hata mia 300