Waziri mkuu wa India Narendra Modi akiongea huko Madison Square Marekani mbele ya wamerekani wahindi zaidi ya elfu 18 ameipandisha India na raia zake kwa kutangaza kuwa wahindi wote waishio sehemu mbali mbali duniani ambao si raia wa India ya people with indian origin watalewa Life Time VISA ya india.
Hivyo ni faraja kubwa kwa wahindi waliopo bongo wataendelea kuwa wabongo lakini wana uhalali wa kuingia india kwa uhai wao wote.
Huyu Modi anajiamini sana na mtu mwenye vision ya kuipeleka India mbele.
Ameongea mambo mengi ya taifa lake
hata wabongo mtapata lifetime visa and even other privileges mzee, isipokuwa hamtakuwa raia, hamtapiga kura, hamtagombea cheo chochote. mtakuwa mnatembelea tu hii nchi yenu ya zamani. tunawapenda tunahitaji muendelee kuwepo hapa kwasababu mlizaliwa hapa, mama zenu wapo hapa hatuwezi kuwakana asilimia mia moja, damu nzito kuliko maji. wewe mbeba box ukija na mkenya tutakuthamini wewe kwanza kabla ya mkenya pamoja na kwamba wote status yenu ni moja.Waziri mkuu wa India Narendra Modi akiongea huko Madison Square Marekani mbele ya wamerekani wahindi zaidi ya elfu 18 ameipandisha India na raia zake kwa kutangaza kuwa wahindi wote waishio sehemu mbali mbali duniani ambao si raia wa India yaani people with indian origin watapewa Life Time VISA ya india.
Hivyo ni faraja kubwa kwa wahindi waliopo bongo wataendelea kuwa wabongo lakini wana uhalali wa kuingia india kwa uhai wao wote.
Huyu Modi anajiamini sana ni mtu mwenye vision ya kuipeleka India mbele.
Ameongea mambo mengi ya taifa lake
Vipi Kupiga Kura za Kuchagua Waziri Mkuu? nadhani Modi katamka kwa Bahati Mbaya tu... Kiusalama wa Taifa haijakaa Sawa hilo.... Hivyo Kwa kusema hivyo idadi ya Raia wa India itakuwa ishaipiku China kwa Populations...
Sipati Picha wahindi Jirani Zangu watafurahiaje hilo jambo japo hawana mpango wa kurejea India... Ila Watajifeel sana.... Ndio Raha ya Kuwa na Viongozi Non Muslim... Wanakuwa wanatoa haki kwa Wote... ila Sasa wale wenye asili ya Pakistan sijui watajichanganya humo humo au? Niliona kulikuwa na maandamano nje walikuwa wamebeba Mabango Modi anauwa Waislam...