Mimi ni mwalimu wa Computer (ICT) shule yoyote inayofanya mtihani wa necta CSEE wa computer (ICT) ni lazima wasome programming sababu mtaala upo hivo ila shule nyingi wanafundisha computer ila wanafunzi wao hawafanya national exam ya computer (ICT).
Mwanza, Green View Secondary wanasoma computer pia ila ndio kama nistdanavigator alivoandika hapa Juu.. sio kwmba wanasoma programming tu ila ni kati ya topic kwenye syllabus ya Secondary