Press conference ya BAWACHA hivi leo: Sura zenye majuto, huzuni, hofu, woga

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,414
Hawa mashangazi wamepatwa na nini?!Kwa nini wana nyuso za mfadhaiko?

Dhambi ya usaliti ni mbaya sana.Yaani binadamu alivyoumbwa ni ngumu sana kuficha uovu aliofanya usoni pake,ni ngumu sana kuwa hodhari baada ya kufanya maovu na ni ngumu sana pia kuonyesha kuwa hajafanya maovu.Moyo wa binadamu umeumbiwa kufanya mema na wala siyo kufanya maovu.Poleni mashangazi ila mkome!
 
Mzee anazungumza wenyewe wanapotezea aibu kwa kuchat.

Halafu mzee alitokwa na jasho jingi sana mabondeni, kajichanganya matamshi, press haikuwa na logical sequence, alishindwa kusimamia kwenye hoja...

Kasema wao ni wanachama, ila hapohapo akasema wanakata rufaa kurejeshewa uanachama wao..

Mara aliona list ya viti maalum ila yeye hakuwepo, kwa hiyo list aliyopeleka ni sahihi...

Ameumbuka sana na actually, hayo aliyoyasema siyo ya kwake na yeye binafsi haamini Wala hakubaliani na alichokisema.
 
Lakini Spika wa bunge ameshawakingia kifua na kuahidi kuwalinda.

Kuitisha hiyo press conference ni kitafuta njia ya kuhalalisha maneno ya spika kuwa bado anawatambua kama wabunge, kwamba bado hawajafukuzwa CHADEMA na hivyo wana haki ya kuendelea kuwa wabunge.
 
Kwani speaker yupo juu ya katiba ya nchi na sheria ya vyama vya siasa hadi akingie vifua wahalifu?
 
Nashauri Halima Apumzike Siasa, Aolewe, Ajenge Familia Kisha aje aibuke akifikisha miaka 50 huko.

Akikosa wa kumuoa, Mimi Kirchhoff nipo tayari Kuzaa naye.
 
Hivi kinachomfanya spika awakingikie kifua ni kwa sababu gani?
 
Basi hapo akina Halima wamehaidiwa kampunga kao hapo endapo watasimama na msimamo huo
 
Walidhani wale wengine wangekuwa upande wao sasa lile tamko walilotoa la kumwomba mwenyekiti awatimue ni wasaliti limewakata maini
 
Utafikiri wanasubiria kwenda kunyongwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…